Njoo Tukuagizie Gari

KARIBU:  NjooTukuagizieGari MDAU

YALIYOMO
Go to content
Karibu Kalumbilo Imports [Njoo Tukuagizie Gari].
Hii ni kampuni ya kizalendo kabisa inayotoa huduma kwa watanzania.

Mambo MATATU ya kukufanya uchague huduma yetu:

MOJA, Yapo makampuni mengi ya kuuza magari Japan na Ulaya. Mengine yanao mawakala Tanzania na mengine hayana. Ni rahisi kwenda moja kwa moja kwa wakala wa kampuni husika na kuagiza gari unayoipenda, lakini shida itaanzia pale utakapokosa gari unayoipenda katika kampuni hiyo, au ukaipata lakini ikawa juu ya bajeti yako. Itakuchukua muda na garama tena kutafuta wakala mwingine na mwingine hadi upate hitaji lako inaweza kuchukua wiki na huenda usipate hitaji lako kwa ukamilifu ila ukaamua tu sababu umechoka kuzunguka. Soma zaidi....

Like ukurasa wetu wa Facebook hapa chini upate kujua offer kemkem

MAKAO MAKUU

Quality Plaza, 2nd Floor, West Wing, Room No. 346
Nyerere Road, Dar es Salaam
S.L.P 100047
+255 684 454 441
+255 713 416 275
www.kalumbilo.co.tz

            Mawasiliano ya haraka
Whatsapp na Barua pepe
Za jumla [General] 0713 416 275
                                     0684 454 441
          Mwanza Pekee:     0767 251 237
          Mbeya Pekee:       0629 822 276


Email:  service@kalumbilo.co.tz
© 2015-2020 Kalumbilo Imports & Commission Agency Co. Ltd  
Back to content