Kuhusu Sisi - Njoo Tukuagizie Gari

KARIBU:  NjooTukuagizieGari MDAU

YALIYOMO
Go to content

Kuhusu Sisi

Sisi  ni  MAWAKALA, TUNATOA HUDUMA KAMA MAWAKALA WA MANUNUZI kwa njia ya mtandao wa intaneti. Ni watanzania wazelendo kabisa, kwa moyo wa dhati tumeamua kutoa huduma ya uwakala wa manunuzi kwa njia ya internet. Hii ni kwa sababu biashara hii ni chachu ya maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla kulingana na dunia tuliyonayo kwa sasa. Tunatoa huduma ambayo malipo yake ni kidogo yaitwayo "commission".

Tuna elimu na uzoefu katika shughuli hii kwa muda mrefu sasa, huduma tunayotoa ni kutokana na elimu rasmi tuliyonayo ikiongezwa na uzoefu tulionao.

Tumesajiliwa kwa mujibu wa sheria na wakala wa serikali wa kusajili biashara na makampuni [BRELA], tumejisajili kulipa kodi [TRA] na tumepewa lesini ya biashara ya viwanda, biashara na uwekezaji [MIT].

Tunafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi lakini zaidi sheria za Mungu ambaye ndiye msingi mkubwa wa shughuli zetu.
Mr. Elias Lupande
Miss. Juliana Kattani
Mr. Elias Lupande
[Company C.E.O]
Mr.Tito Mwakipesile
[Associate Director]
Miss. Juliana Kattani
[Company Secretary]
Mr. Charles Kanyagha
[Logistics Manager]
Miss. Lucy Kanwagale
[Branch Manager]
Miss. Gladys Busumbiro
[Customer Services]

MAKAO MAKUU

Quality Plaza, 2nd Floor, West Wing, Room No. 346
Nyerere Road, Dar es Salaam
S.L.P 100047
+255 684 454 441
+255 713 416 275
www.kalumbilo.co.tz

            Mawasiliano ya haraka
Whatsapp na Barua pepe
Za jumla [General] 0713 416 275
                                     0684 454 441
          Mwanza Pekee:     0767 251 237
          Mbeya Pekee:       0629 822 276


Email:  service@kalumbilo.co.tz
© 2015-2020 Kalumbilo Imports & Commission Agency Co. Ltd  
Back to content