Wekeza - Njoo Tukuagizie Gari

KARIBU:  NjooTukuagizieGari MDAU

YALIYOMO
Go to content

Wekeza

Wekeza Nasi Kampeni, Ni Kampeni ya HIYARI kabisa na ni Maalumu kwa wale ambao wamekuwa wakiomba Uwekezaji wa namna hii kwa kuwa kwa muda mrefu wamekuwa Wakijipanga Kujiwekezea akiba ya fedha hata kwa Akaunti maalum, lakini wakawa kwa namna moja ama nyingine WAKASHINDWA kufikia lengo la Kumiliki USAFIRI aliokuwa amepanga kwamba Lazima atamiliki Gari au Kutimiza Ndoto zake.

Hili ni Geni kwenye Ukurasa huu kwa sasa, Lakini ni Jambo lililofanyika kwa Mwaka uliopita na wapo wengi walioagiza Magari yao kwa Mtindo wa uwekezaji huu Tunaoutambulisha rasmi kwa wadau muda huu..!Leo hii tunaliweka Official kutokana na Maombi mengi ya wadau , Ambao tumepokea Ushauri wao na Kuyafanyia kazi ..!Tumejipanga katika Kukufanikishia hili pia..!..Karibu.

Huduma ya Njoo Tukuagizie Gari, Inaendelea kama Kawaida kwa wale wenye Maandalizi Mazuri ya wao wenyewe Kujiwekea Akiba na kufikia Kuamua Kuagiza gari kwa Kawaida kabisa kwa MALIPO YA AWAM MBILI kama ilivyo siku zote..!Na huduma hii ya Wekeza Nasi itabaki kuwa ya Hiyari kwa wale watakaoona ni Msaada kwao Kufanya hivyo..!

Unaweza Kuona namna gani Unaweza Kuachana na Manunuzi ya Magari ya Mkononi au Magari yaliyotumika hapa Nchini, Na badala yake Ukawekeza uje Kumiliki Jipya..!Kwa maana ya kumiliki Gari kutoka Nje ya nchi huko Japan, Singapore,Uk na kwengineko..!Karibuni.
DILI NI GARI !..DILI NI USAFIRI..!..WEKEZA NASI SASA.

Fika Ofisini Kwetu, Makao Makuu yetu yaliyopo Dar es salaam ,Jengo la Quality Plaza, Barabara ya Nyerere ,Ghorofa ya pili, Chumba namba 346 !(Kituo cha kushuka Kwa wanaotumia usafiri wa umma kinaitwa Banda la Ngozi)

Au kama upo Kanda ya Ziwa , Fika Ofisini kwetu jengo la Rock City Mall ,Ghorofa ya Pili ,Barabara ya kwenda Airport-( kituo wanaita Darajani)

Na kama upo Jijini Mbeya! Fika Mwanjelwa Complex (Soko kuu la Kimaitaifa) Ghorofa ya Kwanza ,Chumba namba 317.

PAKUA FOMU YA WEKEZA HAPA CHINI

MAKAO MAKUU

Quality Plaza, 2nd Floor, West Wing, Room No. 346
Nyerere Road, Dar es Salaam
S.L.P 100047
+255 684 454 441
+255 713 416 275
www.kalumbilo.co.tz

            Mawasiliano ya haraka
Whatsapp na Barua pepe
Za jumla [General] 0713 416 275
                                     0684 454 441
          Mwanza Pekee:     0767 251 237
          Mbeya Pekee:       0629 822 276


Email:  service@kalumbilo.co.tz
© 2015-2020 Kalumbilo Imports & Commission Agency Co. Ltd  
Back to content